HOW TO PAY WATER BILLS
- Piga *150*01#
- Chagua 4 Lipia bili
- Chagua 5 Malipo ya Serikali
- Ingiza namba ya Malipo (Control Number, Mfano 995261234561)
- Weka Kiasi
- Ingiza Namba ya Siri
- Bonyeza 1 Kuthibitisha
- Piga *150*00#
- Chagua 4 –Lipa kwa M-Pesa
- Chagua 5 – Malipo ya Serikali
- Chagua 1 Namba ya Malipo
- Ingiza 1 Namba ya Malipo
- Ingiza kumbukumbu namba (Control Number) ambayo umetumiwa pamoja na Ankara yako ya mwezi (inayoanza na 99526….)Weka Kiasi
- Ingiza Namba ya Siri
- Bonyeza 1 Kuthibitisha
- Piga *150*60#
- Chagua 5 –Lipia bili
- Chagua 5 – Malipo ya Serikali
- Chagua 1 Namba ya Malipo
- Ingiza kumbukumbu namba(Control Number) ambayo umetumiwa pamoja na Ankara yako ya mwezi(inayoanza na 99526….)
- Weka kiasi
- Ingiza Namba ya Siri
- Bonyeza 1 Kuthibitisha
Hakikisha mwisho utapata ujumbe wa simu unaonyesha malipo ya ankara ya maji manawasa
- Piga *150*88#
- Chagua 4- Lipa kwa Halo pesa
- Chagua 5 ( malipo ya serikali Government payment)
- Chagua namba 1 ( ingiza control number au reference number)
- Kiasi cha pesa kwa mujibu wa ankara
- Weka namba za siri, hakikisha mwisho utapata ujumbe wa simu unaonyesha malipo ya ankara ya maji manawasa
BENKI - Njia nyingine ni kutumia benki za