TAARIFA MUHIMU.
TAARIFA MUHIMU.
19 Oct, 2026

Ndugu wateja,

Wote wenye malimbikizo ya madeni ya huduma ya maji kuanzia mwezi Septemba 2026, mnakumbushwa kulipa madeni yenu ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza.

MANAWASA inawashukuru kwa ushirikiano wenu.

 

Kwa mawasiliano piga: 0798 218 163

slot gacor