Sitisha na Rejesha Huduma

utaratibu wa kukata na kurejesha huduma ya maji.

Kusitisha huduma ya  maji.

Mamlaka itasitisha huduma ya maji kwa mteja anayedaiwa baada ya kupewa taarifa (notice) ndani ya siku thelathini(30)  kama sheria ya maji ya mwaka 2016 inavyoeleza.

Kurejesha huduma.

Mamlaka itarejesha huduma kwa mteja aliyesitishiwa  huduma ya maji ndani ya masaa 24 kama mkataba wa huduma kwa wateja unavyoeleza.