TAARIFA YA UHABA WA...
TAARIFA YA UHABA WA MAJI.
29 May, 2024
Mamlaka ya Usafi na Usafi wa Mazingira Masasi-Nachingwea inawatangazia wateja kuwa kutakuwa na tatizo la maji katika mji wa Masasi kutokana na kuharibika kwa bomba kuu  kijiji cha Chigugu.

Huduma itarejea mara tu matengenezo yakapokamilika.