Dhima & Dira

DIRA YA MANAWASA

kutoa huduma bora na endelevu ya Majisafi na Usafi wa Mazingira.

DHIMA YA MANAWASA

Kukidhi mahitaji ya wateja na kukuza maono ya MANAWASA kupitia utoaji wa huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira kwa kiwango cha juu cha kutegemewa, ufanisi, na usalama.

Dhima hii itafikiwa kupitia:-

  • Kuongeza eneo la utoaji wa huduma ya Maji.
  • Utengenezaji, utunzaji na ulinzi wa vyanzo vya Maji.
  • Kushughulikia malalamiko ya wateja kwa wakati.
  • Utoaji wa huduma ya usafi wa mazingira.