Taarifa kwa Umma

MANAWASA inaendelea na maunganisho ya huduma ya maji kwa wateja wa Taasisi,Majumbani na Biashara.

Zoezi la usomaji mita linaendelea,mteja unatakiwa kuhakiki usomaji wa mita mara upatapo ujumbe mfupi wa meseji.

Unaweza kulipa ankara yako ya maji kwa njia ya Tigo pesa,Airtel Money,M pesa,T pesa,Halopesa ,Benk au wakala wa NMB,CRDB au NBC.