Kanusho

MANAWASA inatoa huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira kwa mujibu wa sheria na taratibu za kiserikali, pia kuna huduma ambazo zinapitia kwa watoa huduma wengine ambapo MANAWASA haiwezi kudhibiti ubora na upatikanaji  wa Huduma hizo kwa asilimia 100. Hivyo taasisi haitahusika kwenye ukosekanaji wa huduma hizo na hasara zitazojitokeza.