ZOEZI LA KUSITISHA HUDUMA YA MAJI LIMEANZA.
19 Aug, 2024
Zoezi la kusitisha huduma ya maji kwa wateja wenye malimbikizo ya madeni kuanzia mwezi wa saba kurudi nyuma limeanza.
Hivyo unatakiwa kulipa deni lako ili kuepuka usumbufu wa kusitishiwa huduma ya maji.
NB.
Ukisitishiwa huduma utatakiwa kulipa deni lako lote pamoja na faini ya kurudisha huduma Tshs.20,000. Malipo yafanyike kupitia namba ya malipo.