ELIMU KWA UMMA
05 Aug, 2024
Maji ni hitaji la msingi na haki kwa viumbe hai,hivyo basi mwananchi thamini huduma ya maji kwa kuzingatia matumizi yake,kulinda miundombinu pamoja na kuhifadhi mazingira ili kutunza vyanzo vya maji.