ZOEZI LA KUSITISHA H...
ZOEZI LA KUSITISHA HUDUMA YA MAJI LINAENDELEA.
27 May, 2024

Zoezi la kusitisha huduma ya maji kwa wateja wenye malimbikizo ya madeni kuanzia mwezi wa nne 2024 kurudi nyuma linaendelea.

Hivyo unatakiwa kulipa deni lako ili kuepuka usumbufu wa kusitishiwa huduma ya maji.

NB.

Malipo yafanyike kupitia namba ya malipo(control number).