Tunaowahudumia

MANAWASA inatoa huduma ya usambazaji wa Majisafi na salama kwa wanainchi wa maeneo ya Halmashuri ya Mji wa Masasi , Mji wa Nachingwea pamoja na maeneo ya vijiji vinavyozunguka mji huo, Wilaya ya Nanyumbu hususani Mji Mdogo wa Mangaka na Vijiji vinane vya Wilaya ya Ruangwa vilivyopitiwa na bomba kuu la maji kutoka chanzo cha mbwinji kupeleka Nachingwea.