Bei za Maji MANAWASA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) iliidhinisha mapitio mapya ya bei za huduma za majisafi na uondoshaji majitaka zinazotolewa MASASI  kwa 2015/2016.

Bei za maji zilizoidhinishwa zimeonyeshwa kwenye jedwali namba 1 na 2 hapa chini:-

  • Jedwali Nambari 1:  Usambazaji  Maji (Kwa watumiaji wenye Dira za maji)
  • 1% ya mauzo ya maji = ADA YA EWURA

Jedwali Nambari 1:  Usambazaji  Maji (Kwa watumiaji wenye Dira za maji)

Schedule 1(a): Bei za Maji

Na.

Kundi

Bei iliyopitishwa (TZS/m3)

Matumizi kwa Mita za Ujazo (m3)

Kiasi kwa Shs.
kwa Mita ya ujazo

1

Majumbani

0 - 30

1200

 

 

> 31

1400

2

Taasisi

0>

1600

3

Biashara

0>

2000

4

Kiwanda

0 >

2500

5

Kiula

0>

2250

6

Boza

0>

2250

Schedule 1(b): viwango vya Kurejesha huduma ya Maji kwa waliositishiwa huduma:-

Na.

Kundi la Mteja

Bei mpya kwa TShs.

1.

Majumbani

20,000/=

2.

Taasisi

20,000/=

3.

Biashara

20,000/=

4.

Kiwanda

20,000=

Schedule 1(c): Malipo ya Huduma kwa mwezi:-

Na.

Kundi la Mteja

Bei mpya kwa TShs.

1.

Majumbani

0

2.

Taasisi

0

3.

Biashara

0

4.

Kiwanda

0