Maunganisho Mapya

Maunganisho mapya ya maji. Mmamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira Masasi na Nachingwea (MANAWASA) inatoa huduma ya maunganisho ya maji kwa wateja wapya wa majumbani,Taasisi,Biashara na viwanda kwa kufuata taratibu zifuatazo;

1.Mteja anatakiwa kuwa na picha moja(pasport size yenye rangi ya blue nyuma)

2.Nakala ya kopi ya kitambulisho cha Mpiga kura,kitambulisho cha Taifa na Leseni ya udereva(kimoja wapo kati ya hivo)

NB.

Baada ya mteja kujaza fomu ya maombi ya huduma ya maji atapimiwa ili kupata gharama za maunganisho.Baada ya malipo kukamilika mteja atapata huduma ya maji ndani ya siku saba(7) toka siku aliyolipia kama mkataba wa huduma kwa wateja unavyoeleza.