Watumishi wa MANAWASA wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa kata wa Tarafa ya Masasi.
MANAWASA yapokea mita 2005 kwa ajili ya maunganisho mapya ya maji.
Bodi ya Wakurugenzi ya MANAWASA pamoja na Menejimenti wakiwa katika kikao kazi na Msajili wa Hazina kilichofanyika tarehe 15/09/2025 hadi tarehe 16/09/2025 jijini Dar Es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mh.Mohamed Hassan Moyo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla fupi ya utiaji saini Mkataba wa kuboresha huduma ya maji katika Mji wa Nachingwea.
Mkurugenzi Mtendaji wa MANAWASA Kiula Makalla Kingu(kushoto) ashiriki katika hafla fupi ya utiaji saini wa Mkataba wa kuboresha huduma ya maji Wilaya ya Nachingwea.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugeni wakiwa katika kikao cha kamati ya Fedha na Ukaguzi kilichofanyika tarehe 6/08/2025 katika ukumbi wa mkutano wa MANAWASA.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugeni wakiwa katika kikao cha kamati ya Ajira na Nidhamu kilichofanyika tarehe 5/08/2025 katika ukumbi wa mkutano wa MANAWASA.
MKurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira Masasi-Nachingwea(MANAWASA) Kiula Makalla kingu akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa MANAWASA na mzabuni wa mita za malipo kabla kutoka kampuni ya Wazo technology wakati wa mapokezi wa mita.
Zoezi la ulazaji wa mabomba ya kusambaza maji linaendelea katika kijiji cha Sengenya Wilaya ya Nanyumbu
Watumishi wa MANAWASA katika picha ya pamoja na wateja wa huduma ya maji katika Mji wa Mangaka Wilaya ya Nanyumbu.