Maandalizi ya vifaa...
Maandalizi ya vifaa kwa ajili ya maunganisho mapya ya maji.
23 Jun, 2025
Maandalizi ya vifaa kwa ajili ya maunganisho mapya ya maji.

Mafundi wa MANAWASA wakifanya maandalizi ya vifaa kwa ajili maunganisho mapya ya maji katika Mji wa Masasi na Nachingwea.