HATUA ZA KUFUATA ILI KUJUA BILI YAKO YA MAJI.
19 Oct, 2026
Bofya
*152*00#
Kisha fuata maelekezo ili kupata bili yako ya maji
- Chagua namba 6 (Maji)
- Chagua namba 1 (Huduma za maji za pamoja)
- Chagua namba 6 (Uliza bili)
- Ingiza namba ya akaunti yako ya maji ili kuona bili yako
KWA MSAADA ZAIDI PIGA: 0798 218 163

