- Uwazi, Taasisi itazingatia uwazi katika uendeshaji wa shughuli zake za kila siku.
- Uadilifu, Viongozi na Watumishi watazingatia uadilifu kwenye utoaji wa huduma.
- Uaminifu, Taasisi itazingatia uaminifu katika utoaji wa huduma.
- Uwajibikaji, Taasisi itawajibika kwa wateja wanao wahudumia
- Ubunifu, Taasisi itaupatia kipaumbele ubunifu katika utoaji wa huduma na kutatua changamoto za wateja.