Majisafi na Salama
Majisafi na Salama

MANAWASA inatoa huduma ya Majisafi na salama kwa Wanainchi wa Wilaya za Masasi, Nachingwea na Nanyumbu na  vijiji vyote vilivyopitiwa na bomba kuu la maji kutoka kwenye chanzo cha Maji ambavyo viko wilaya za Ruangwa na Masasi. Huduma ya Majisafi na salama inatolewa kwa wateja wa majumbani, Taasisi, Biashara, viula na Viwanda.