FAHAMU BEI ZA HUDUMA YA MAJISAFI ZA MANAWASA ZILIZOIDHINISHWA NA EWURA.
09 Apr, 2024
S/N |
AINA YA MTEJA |
BEI(Tsh) KWA LITA 1000 |
1.1 |
MAJUMBANI(DOMESTIC) (Matumizi ya lita 0 mpaka 30,000 kwa mwezi) |
1200 |
1.2 |
MAJUMBANI(DOMESTIC) (Matumizi yanayozidi lita 30,000 kwa mwezi) |
1400 |
2. |
TAASISI |
1600 |
3. |
BIASHARA |
2000 |
4. |
VIWANDA |
2500 |
5. |
VIULA(VIOSK) |
2250 |
6. |
BOZA |
2250 |