Shughuli za Mazingira
Shughuli za Mazingira

MANAWASA inafanya shughuli mbalimbali za kimazingira katika maeneo ya Vyanzo vya Maji, maeneo yanayozunguka matanki ya kuhifadhia maji na katika mazingira ya ofisi pia. shughuli hizo ni kupanda miti ambayo ni rafiki kwa mazingira husika sambamba na kuelimisha jamii nzima kuhusu suala la utunzaji wa mazingira hasa kwenye Vyanzo vya Maji na kwenye maeneo ambayo yamepitiwa na miundombinu ya maji.