KUSITISHA HUDUMA YA...
KUSITISHA HUDUMA YA MAJI
03 Jan, 2023

Ndugu Mteja wetu, MANAWASA inafanya oparesheni kata maji kwa wadaiwa sugu wote. Hivyo unakumbushwa kulipa ankara yakoili kuepuka usumbufu wa kusitishiwa huduma ya Maji katika eneo lako. Kumbuka maji ni Uhai na mteja una wajibu wa kulipa ankara yako ya maji unayotumiwa kwenye simu yako kila mwezi. 

kujua deni lako la ankara ya maji tafadhali wasiliana na Msoma mita wa eneo lako.