Baada ya mteja kulip...
Baada ya mteja kulipa gharama za maunganisho mapya,anatakiwa kupata huduma ya maji kwa muda gani?

Mteja anatakiwa kupata huduma ya maji ndani ya siku saba (7) za kazi.