kwa mteja aliyesitis...
kwa mteja aliyesitishiwa huduma baada ya kulipa deni lake na faini, huduma ya maji itarejea ndani ya muda gani?

Huduma ya maji itarejea ndani ya masaa ishirini na nne (24) ya kazi.