Nawezaje kupata Anka...
Nawezaje kupata Ankara ya Maji (bili) kwa njia ya Simu ya Mkononi?
  • Piga *152*00#
  • Chagua no.6 maji
  • Chagua no.1 huduma za Pamoja
  • Utachagua huduma unayoitaka
  • Utafuata maelekezo, mfano ukichagua no.6 ulizia bili utatakiwa kuweka akaunti namba ili kuweza kupata bili yako.