Nawezaje kulipa Anka...
Nawezaje kulipa Ankara(bili) ya maji kwa njia ya simu?

Unaweza kulipa bili yako ya Maji kwa kutumia njia ya simu ya mkononi kupitia huduma ya Tigo Pesa, Airtel Money, M-pesa, Halopesa na T-pesa.