TAARIFA MUHIMU.
12 Oct, 2026
MANAWASA inaendelea na kazi ya kuboresha miundombinu ya maji kwa kubadilisha bomba la nchi 10 katika eneo la Uhindini.Hatua hii inalenga kuimarisha mfumo wa usambazaji wa maji na kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja. kwa kingereza

