MANAWASA YAENDELEA KUFANYA MAUNGANISHO MAPYA YA WATEJA.
13 Oct, 2026
Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira Masasi-Nachingwea imeendelea kufanya maunganisho mapya kwa wateja. Hatua hii inalenga kuwawezesha wananchi wengi zaidi kupata huduma ya maji safi na salama.

