MUDA WA KUREJESHA HUDUMA YA MAJI.
21 Aug, 2024

Ndugu mteja ukikatiwa maji,huduma itarejea ndani ya masaa 24 ya kazi baada ya kukamilisha malipo.