KUTUNZA MIUNDOMBINU...
KUTUNZA MIUNDOMBINU YA MAJI NI JUKUMU LETU
12 May, 2023

Ndugu Mteja na Wanainchi wote, mnaombwa kutoa taarifa kwa MANAWASA pale mnapoona uharibifu wa miundombinu ya Maji katika maeneo yenu mnayoishi. Namba za mawasiliano ni;

1. MANAWASA-KANDA YA MASASI - 0788 446 561

2. MANAWASA - KANDA YA NACHINGWEA - 0786 727 390

Kutunza miundombinu ya Maji ni jukumu letu sote, kwa pamoja tunaweza.