Nawezaje kuwasilisha...
Nawezaje kuwasilisha malalamiko yanayohusu huduma za maji?
  • Kwa kufika ofisi za Manawasa
  • Kupiga simu huduma kwa wateja 0788-446561 (Masasi) na 0786-727390 (Nachingwea)
  • kuwasilisha lalamiko kupitia Sanduku la maoni lilipo kwenye ofisi za Manawasa
  • Kwa njia ya barua.