Mteja anapoomba hudu...
Mteja anapoomba huduma ya maji kwa mara ya kwanza anatakiwa afanye nini?

Mteja anatakiwa kuwa na viambatanisho vifuatavyo;

  • Picha moja Passport size (yenye rangi ya blue nyuma)
  • Nakala ya kitambulisho kimoja wapo kati ya;

 kitambulisho cha Taifa,Kitambulisho cha mpiga kura,Kitambulisho cha kazi  na leseni ya udereva.