MAREKEBISHO YA CHANZO.
09 Apr, 2026
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Masasi-Nachingwea(MANAWASA) jana tarehe 8/4/2026 ilifanya marekebisho ya chemba ya kupokea maji pamoja na usafi ikiwa ni jitihada zinazofanywa ili kufuatilia kwa ukaribu hali ya uzalishaji wa maji na kuhakikisha wananchi wanapata yasiyokuwa na rangi hasa katika kipindi hiki cha mvua zinazoendelea kunyesha.

