ZOEZI LA KUSITISHA H...
ZOEZI LA KUSITISHA HUDUMA YA MAJI LINAENDELEA.
23 Sep, 2024
ZOEZI LA KUSITISHA HUDUMA YA MAJI LINAENDELEA.

zoezi la kusitisha huduma ya maji kwa wateja wenye malimbikizo ya madeni kuanzia mwezi wa nane 2024 kurudi nyuma linaendelea.

Hivyo unatakiwa kulipa deni lako ili kuepuka usumbufu wa kusitishiwa huduma ya maji.

NB.

Malipo yafanyike kupitia  namba ya malipo(control number).