UFUATILIAJI WA MADEN...
UFUATILIAJI WA MADENI.
26 Mar, 2024

Zoezi la ufuatiliaji wa madeni kwa wateja wanaohudumiwa na MANAWASA.

Zoezi hili linaambatana na utoaji wa elimu juu ya matumizi sahihi ya maji na ulipaji wa bili kwa wakati.

Manawasa inawataka wateja kulipa bili za maji ili kuepuka usumbufu wa kusitishiwa huduma ya maji.