EPUKA BILI KUBWA KWA KUFANYA YAFUATAYO.
28 May, 2024

- Epuka kumwaga maji yanayoweza kutumika kwa matumizi mengine.
- Weka uratatibu wa mara kwa mara wa kuchuguza miundo mbinu ya maji yako ili kutambua mivujo.
- Jiwekee utaratibu wa kuhifadhi maji kwenye madumu au tanki na tumia kwa uangalifu.
- Hakikisha unafunga koki vizuri za bomba la maji mara baada ya matumizi.