KUHUJUMU MIUNDO MBINU YA MAJI NI KOSA KISHERIA.
18 Jul, 2024

Kuiba na kuchezea dira za maji kwa ulaghai ni kosa kisheria.
Adhabu yake ni faini ya Tshs.500,000-Tshs.50,000,000 au kifungo cha miezi sita hadi miaka mitano au vyote kwa pamoja.