UKAGUZI WA UCHIMBAJI WA MITARO NA ULAZAJI WA MABOMBA KATIKA KIJIJI CHA MASUGURU WILAYA YA NANYUMBU .
28 Mar, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mh.Daktari Stephen Isaac Mwakajumilo akikagua zoezi la uchimbaji wa mitaro na ulazaji wa mabomba katika mradi wa maji wa mto Ruvuma kijiji cha Masuguru Wilaya ya Nanyumbu .