ZOEZI LA USOMAJI MITA LIMEANZA.
03 Jul, 2024

Ndugu mteja,zoezi la usomaji mita kwa mwezi wa 07 limeanza katika maeneo mbalimbali.
Hakiki taarifa za usomaji wa mita yako zilizotumwa kwa ujumbe mfupi(sms) kabla ya ankara haijaandaliwa na kutumwa.
NB.
Kama kuna makosa katika usomaji wasiliana na msoma mita wa mtaa husika.