MATENGENEZO YA BOMBA
MATENGENEZO YA BOMBA
18 Sep, 2024
MATENGENEZO YA BOMBA

Mteja atawajibika kununua vifaa vya matengenezo ya bomba linalomuhudumia endapo utatokea uharibifu kuanzia kwenye bomba kuu hadi mwisho wa bomba lake(standpipe).

 

NB.

Baada ya mteja kununua vifaa vya matengenezo,MANAWASA itatoa huduma ya ufundi tu.