UKAGUZI WA MITA
29 Oct, 2024

Katika kuhakikisha wateja wanaendelea kupata ankara za maji sahihi,Mkurugenzi mtendaji wa MANAWASA Kiula Makala Kingu akikagua ubora wa mita zilizofungwa kwa wateja kanda ya Nachingwea.