Mkurugenzi Mtendaji wa MANAWASA na timu ya Menejimenti katika picha ya pamoja na watendaji wa Kata Mjini Masasi baada ya kikao cha pamoja kilichofanyika mei 19, 2023 katika ukumbi wa mikutano MANAWASA.
Kaimu Mkurugenzi CPA(T) James Mputa akitoa melezo mafupi ya Mradi wa Mangaka kwa kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2023 Ndugu Abdala Shaibu Kaim katika mji wa Mangaka Wilayani Nanyumbu
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023 Ndugu Abdala Shaibu Kaim akipanda Mti katika chanzo cha Maji Mangaka Wilayani Nanyumbu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi MANAWASA pamoja na watumishi kwenye hafla ya Uzinduzi wa Chanzo cha Maji Mangaka Wailayani Nanyumbu mwezi Aprili 2023